College students can unlock a 1 million token context window with a free Pro plan for one year. Pata maelezo zaidi
Skip to main content

Kagua hazina kubwa za misimbo na faili

Gemini ya Google AI Pro inaweza kuchanganua maelezo zaidi kuliko kijibu kingine chochote cha gumzo kinachopatikana kwa watu wengi. Ina kiwango cha kubaini muktadha cha tokeni milioni 1. Hii inamaanisha kuwa inaweza kuchakata hadi kurasa 1,500 za maandishi au mistari elfu 30 ya misimbo kwa wakati mmoja.

Elewa mada changamano na usome kwa umahiri

Changanua hati za utafiti wa kina na vitabu vya kujifunzia kwa wakati mmoja kuhusu mada fulani na upate usaidizi kwa njia inayofaa mtaala na mtindo wako mahususi wa kujifunza. Unaweza pia kutayarisha madokezo ya mtihani na ya masomo.

Gundua maarifa kwenye faili mbalimbali

Elewa kwa kina maoni ya wateja ili ubaini mitindo, changamoto pamoja na mahitaji yanayojitokeza kwa kuchanganua maelfu ya maoni ya wateja, machapisho kwenye mitandao ya kijamii na tiketi za usaidizi kwa wakati mmoja. Kisha, utayarishe chati zilizo tayari kuwasilishwa kulingana na matokeo yako.

Elewa na utekeleze msimbo kwa njia bora zaidi

Pakia hadi mistari elfu 30 ya msimbo na uiombe Gemini Pro ipendekeze mabadiliko, itatue hitilafu, isaidie kuboresha mabadiliko mengi ya utendaji na ifafanue utaratibu wa sehemu mbalimbali za msimbo.