Tunakuletea zana ya kupanga safari inayotumia AI kwenye kifaa chako
Panga safari kwa urahisi sana. Rahisisha mpango wako wa likizo ijayo ukitumia Gemini. Gemini inaweza kufuatilia hoteli, maeneo bora pa kula pamoja na safari za ndege za bei nafuu zinazokufaa zaidi.
Elezea hali yako, tutatafuta safari za ndege
Epuka usumbufu wa kutumia vichujio vingi kwenye tovuti za kawaida za kuweka nafasi kwa kutumia Gemini ikiwa programu yako binafsi ya usafiri inayoweza kupata safari za ndege za bei nafuu na hoteli za bei nafuu zilizo karibu nawe. Badala ya kubadilisha kati ya vichupo kadhaa, elezea tu mapumziko yako bora, kama vile "hoteli ndogo ya kifahari iliyo na ukadiriaji wa juu katika eneo ambako kuna urahisi wa kutembea kwa bei isiyozidi $200" na Gemini itakuonyesha chaguo katika muda halisi kutoka kwenye huduma ya Hoteli na ya Safari za Ndege kwenye Google zinazolingana na hali yako mahususi. Kwa kutumika kama zana iliyorahisishwa ya kulinganisha nauli za ndege na kiratibu cha kupanga safari, Gemini husaidia kuhakikisha kuwa mipango yako ya safari inasalia kupangwa kwa urahisi na bajeti yako inafuatiliwa.
Kuanzia wazo kuwa ratiba
Unapenda kusafiri lakini hujui pa kuanzia? Huenda unatatizika kuchagua kati ya safari ya kufurahisha kwenda New York au maeneo mapya pa kwenda ili upate utulivu, tumia Gemini kama zana yako ya kupanga likizo katika muda halisi ili upekue maeneo pa kwenda pamoja na mambo unayopaswa kujua kabla ya kwenda. Hebu fikiria kuona duka la muziki linalovuma sana Tokyo na kujiuliza iwapo liko karibu na maeneo mengine unayotamani kutembelea. Badala ya kutafuta kwenye ramani mwenyewe, iambie tu Gemini: "Ninataka safari ya siku 4 kwenda Tokyo ikiwa na duka hili la muziki, maduka ya kuuza bidhaa za zamani na vyakula bora vinavyopatikana katika eneo hilo vilivyo karibu nami." Hubuni haraka njia maalum inayoweka shughuli za kufanya kwenye kikundi kulingana na maeneo jirani, ikikutoa katika hali ya “kusitasita” hadi kwenye mpango kamili bila usumbufu wa kupanga safari.
Gusa ili ufahamu kama mwenyeji
Kila wakati, kuwa mbele kwa hatua kumi kwa kutumia Gemini kama mwongozo wako wa usafiri katika muda halisi ili ufahamu desturi na mienendo ya eneo husika na upate maeneo fiche. Iwe unabadilisha mipango kutokana na dhoruba ya ghafla ya mvua au eneo unalotembelea mara kwa mara limefungwa siku hiyo, unaweza kuiomba Gemini itafute eneo jingine la muda kwenye Ramani za Google. Ukitumia Gemini Live, unaweza kuiruhusu kamera yako ifikiwe ili utafsiri ishara au menyu popote ulipo au uelekeze lenzi yako kwenye mnara ili ugundue historia ya mazingira uliko. Kwa kusawazisha programu zako za Google, Gemini hukusaidia kudhibiti ratiba yako katika muda halisi, hivyo kuhakikisha kwamba wakati unapata kazi bora ya Sanaa ya Renaissance au ua pori la ajabu, una kisaidizi cha kitaalamu kilicho tayari kufanya kila njia ya mzunguko iwe tukio muhimu.
Maswali yanayoulizwa sana
Ndiyo! Kwa kuunganishwa na Safari za Ndege kwenye Google, Gemini hufanya kazi kama kipengele chako binafsi cha kutafuta safari za ndege. Unaweza kuiomba itafute tiketi za ndege za bei nafuu au ilinganishe nauli nafuu zaidi za ndege za likizo yako ijayo.
Iulize tu Gemini, "Ni hoteli zipi za bei nafuu zaidi zilizo karibu nami?" au "Tafuta hoteli bora iliyo karibu nami." Kupitia ujumuishaji wa huduma ya Hoteli kwenye Google, Gemini itatafuta haraka vyumba vya bei nafuu vilivyo karibu nawe au huduma za malazi za kipekee kulingana na bajeti na mapendeleo yako mahususi.
Bila shaka. Mipango yako ikibadilika ghafla, unaweza kuiomba Gemini itafute safari za ndege za bei nafuu za dakika za mwisho au hata itambue vyumba vya hoteli vilivyo karibu nawe.
Gemini ni kiratibu kinachotumia AI kisicholipishwa kinachounganishwa kwa urahisi na Hoteli na Safari za Ndege kwenye Google, kinachokuruhusu kutumia kama tovuti ya kulinganisha nauli za ndege au kifuatiliaji cha nauli za ndege moja kwa moja kwenye dirisha lako la gumzo. Itatafuta na kulinganisha chaguo kisha kukuunganisha ili ukamilishe kuweka nafasi.
Kagua majibu. Uoanifu na upatikanaji hutofautiana. Umri wa miaka 18 na zaidi kwa vipengele mahususi.