Google Gemini:
Kifurushi cha wanafunzi bila kulipia kwa mwaka 1
Jifunze ukitumia Gemini na upate vipakuliwa bila kikomo vya nyenzo zako za darasani, madaftari ya masomo, vielelezo shirikishi na Gemini Live. Ukitumia kifurushi cha wanafunzi kisicholipishwa, unaweza hata kupata vikomo vya juu vya matumizi, GB 400 za nafasi ya hifadhi na uwezo wa kutayarisha video ukitumia Gemini Omni kwa mwaka 1.
Geuza maarifa kuwa ufahamu
Angalia jinsi dhana zinavyofanya kazi na vielelezo shirikishi ili upate njia ya kina zaidi ya kusoma na kuelewa kazi zako za kozi.
Jifunze kwa kutumia zana za mafunzo zilizowekewa mapendeleo
Pakia nyenzo zako za mafunzo ili utayarishe daftari la masomo. Gemini itatayarisha mpango wa kujifunza unaokufaa.
Kituo cha wanafunzi
Sehemu maalum ndani ya programu ambapo mafunzo na maudhui yako huunganishwa.
Maswali Yanayokufaa
Geuza madokezo na maudhui yako yawe maswali yanayokufaa.
Kifuatiliaji cha Utendaji
Ni bora zaidi katika kutambua sehemu unazohitaji kuboresha.
Madaftari ya masomo
Tayarisha daftari kwa kila mojawapo ya mafunzo yako.
Nufaika zaidi na Gemini
Gemini Live
Zungumza na Gemini Live katika muda halisi ili upate usaidizi wa kuelewa dhana changamano.
Kubuni picha
Badilisha dhana ngumu kuwa vielelezo shirikishi ili uboreshe mchakato wa kujifunza.
Programu zilizounganishwa
Unganisha maelezo kwenye Gmail, Hifadhi na Workspace yako ili uendelee kupanga maelezo yaliyowekewa mapendeleo kwa ajili yako.
Kusoma kwa ufanisi ukitumia Gemini
Kwa vidokezo vinavyohitaji nyenzo za kozi, tafadhali hakikisha kuwa umepakia faili zako kabla ya kubofya kitufe cha kutuma.
Usaidizi kwenye kazi ya shuleni ya kufanyia nyumbani
Pakia picha au faili ya kazi unayofanya, Gemini itaichambua na kukupa mwongozo wazi wa hatua kwa hatua ili kukusaidia kuelewa jinsi ya kupata jibu.
-
Nionyeshe hatua kwa hatua jinsi ya kutafuta jibu la swali hili la hisabati
-
Nifahamishe kuhusu umuhimu wa kihistoria wa picha hii
-
Tekeleza Utafiti wa Kina kuhusu kuanguka kwa Falme ya Kirumi
-
Fafanua kuhusu kujirudufu kwa DNA
Maandalizi ya mtihani
Hakikisha kuwa umejiandaa kwa mtihani wako ujao. Pakia hati zako, ziwe ni vidokezo au slaidi na uzitumie kuunda mwongozo wa mafunzo, jaribio la mazoezi au hata podikasti.
-
Tunga maswali kulingana na madokezo haya ya mihadhara
-
Niulize maswali kuhusu Mapinduzi ya Viwanda
-
Geuza vidokezo vyangu vya darasani viwe mwongozo wa mafunzo
-
Andaa Muhtasari kwa Sauti kutokana na ripoti hii
Usaidizi wa kuandika
Kuanzia rasimu ya kwanza hadi ya mwisho: Gemini hukusaidia kuchangia mawazo, kuandaa muhtasari na kugeuza mawazo yako yawe kazi iliyoboreshwa, kwa haraka zaidi.
-
Hakiki insha yangu na upendekeze maboresho
-
Fanya barua pepe hii iwe ya kitaalamu zaidi
-
Boresha wasifu wangu
-
Nisaidie kuunda tovuti ya shirika la wanafunzi
Uko tayari kuboresha mafunzo yako?
Dai kifurushi chako cha Google AI Plus cha wanafunzi bila kulipia kwa mwaka 1 leo.
Maswali yanayoulizwa sana
Ofa ya Google AI Plus ya wanafunzi isiyolipiwa inapatikana kwa wanavyuo wanaotimiza masharti wenye umri wa miaka 18 hadi 24. Wanafunzi na watumiaji wapya ambao kipindi chao cha kujaribu AI Pro cha 2025 kimeisha wanaweza kutumia ofa. Ni sharti uthibitishe kuwa umetimiza masharti kila mwaka ili uendelee kufikia huduma.
Pata urahisi zaidi wa kufanya utafiti, kutayarisha na kusoma katika muhula wote.
Kifurushi cha Google AI Plus cha wanafunzi kisicholipiwa kinajumuisha vikomo vya matumizi ambavyo ni mara 2 zaidi, hifadhi ya wingu ya GB 400, uwezo wa kutumia Gemini Omni, pamoja na upakiaji usio na kikomo wa Madaftari ya Mafunzo, Vielelezo na Live.
Gemini imebuniwa ili kukusaidia kusoma kwa ufanisi zaidi, si tu kutoa majibu.
Madaftari ya mafunzo yanaweza kubadilisha silabasi, madokezo ya mihadhara na nyenzo za kozi ulizopakia ziwe zana zilizowekewa mapendeleo. Fikiria kuhusu mwongozo wa mafunzo, maswali na mihtasari inayoendana na unachojifunza kwa sasa.
Kupitia upakiaji usio na kikomo na majibu yanayotegemea nyenzo zako mwenyewe, Gemini hukusaidia kusoma kwa muktadha unaoendana na kazi yako ya kozi.
Wanafunzi wanaotimiza masharti pekee. Masharti ya Ofa yanatumika. Tumia hadi tarere 31 Desemba 2026. Unahitaji kuweka njia sahihi ya kulipa wakati wa kujisajili. Isipokatishwa mapema, Google AI Plus itatoza kiotomatiki Ksh 900 kwa mwezi baada ya kipindi cha kujaribu kuisha. Katisha wakati wowote.