Tazama unachoweza kufanya
Tunakuletea mfumo wetu mpya zaidi, Gemini 4 Neon
Gemini 4 Neon hufanya vyema katika kazi inayohitaji uchambuzi wa kiwango cha juu na majibu ya haraka. Iwe unabadilisha majedwali na PDF zenye maudhui mengi kuwa ripoti zilizo wazi, unatafiti mada zinazobadilika haraka kwenye wavuti au unakabidhi mambo mengi ya kufanya katika Majukumu, Neon hutoa matokeo ya ubora wa juu huku ikiongeza vikomo vyako vya matumizi.
Imarisha tija
Gemini Spark sasa ni Majukumu kwenye Gemini. Badilisha kutoka Gumzo kwenda Jukumu ili ukabidhi kazi zako zinazokubana na ufikie programu uzipendazo za Google na nyinginezo ili ukamilishe mambo.
Gemini Omni
Sasa ni rahisi kutayarisha na kuhariri video kupitia mazungumzo. Gemini Omni ni kama Nano Banana kwa video. Changanya maandishi, picha na video ili utekeleze mawazo yako.
Neural Expressive
Kuanzia matumizi ya fonti hadi majibu unayoweza kuhisi, majibu ya picha na rangi zinazorindima, Neural Expressive ni lugha mpya ya muundo wa Gemini inayofanya kazi iliyoundwa itumiwe katika enzi ya AI.
Gemini Live
Gemini Live sasa imejumuishwa kwenye gumzo lako, ili uweze kubadili majukumu kwa urahisi kati ya kuzungumza na kuandika. Wakati unazungumza, ionyeshe Gemini unachokiona na ujaribu kusema "buni upya" ili ubuni mandhari mapya ya ubunifu ukitumia Nano Banana.
Nufaika zaidi na Gemini
Chagua kifurushi kinachokufaa.
Pata usaidizi wa kila siku kutoka Google AI wa kushughulikia majukumu kazini, shuleni au nyumbani.
-
Auto model selection
-
Kubuni na kuhariri picha
-
Deep Research
-
Gemini Live
-
Canvas
-
Skills
Pata uwezo zaidi wa kutumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili uimarishe tija na ubunifu.
-
Idhini ya kutumia Gemini 4 Hydrogen
-
Pata vikomo vya matumizi ambavyo ni mara mbili zaidi2 kuliko ukitumia toleo Lisilolipishwa pamoja na idhini ya kutumia vipengele zaidi kama vile vya kutayarisha video.
Google AI Plus inapatikana katika nchi zaidi ya160 — angalia orodha kamili ya nchi.
Pata uwezo zaidi wa kutumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili uimarishe tija na ubunifu.
-
Idhini ya kutumia Gemini 4 Neon
-
Idhini ya kutumia Gemini 4 Hydrogen
-
Pata vikomo vya juu vya matumizi ambavyo ni mara nne zaidi2 kuliko ukitumia toleo Lisilolipishwa pamoja na idhini ya kutumia vipengele zaidi kama vile vya kutayarisha video.
Google AI Pro inapatikana katika nchi na maeneo zaidi ya 150 - angalia orodha kamili ya nchi.
Pata idhini ya juu zaidi ya kutumia vipengele bora zaidi vya kipekee na vya Google AI.
Ksh 37,000 KES kwa mwezi: Vikomo vya matumizi vya juu vya mara 20 zaidi ikilinganishwa na AI Pro
-
Idhini ya juu zaidi ya kutumia Gemini 4 Carbon
-
Idhini ya juu zaidi ya kutumia Gemini 4 Neon
-
Idhini ya juu zaidi ya kutumia Gemini 4 Hydrogen
-
Pata vikomo vya matumizi vya juu vya hadi mara 20 zaidi2 katika Gemini kuliko vya kifurushi cha Pro, pamoja na idhini ya kwanza ya kutumia vipengele vya kina kama vile Majukumu kwenye Gemini (katika nchi mahususi).
Ultra mara 20: Vikomo vya msingi vya kiwango cha mfumo tekelezi katika Google Antigravity, mfumo wetu wa usanidi unaojitekeleza
Google AI Ultra inapatikana katika nchi zaidi ya 150 — angalia orodha kamili ya nchi.
YouTube Premium Family plan is available in over 100 countries — see full list of countries.
Pata Gemini pamoja na kifurushi cha tija cha Workspace chenye usalama wa kiwango cha kibiashara.
Ongeza Gemini kwenye kifurushi chako cha sasa cha zana za tija kama vile Microsoft 365 ukiwa na vidhibiti vya IT vya kiwango cha shirika.
Jaribu mifumo ya hivi punde ya Gemini na uanze kubuni ukitumia Gemini API.
Tumia mifumo tekelezi ya AI kuandika, kufanyia majaribio na kutekeleza msimbo.
Unda, tekeleza na udhibiti mifumo tekelezi ya AI na programu zilizo tayari kwa matumizi ya biashara.
Gemini kwenye Instagram
Gundua njia zaidi za kutumia Gemini
Chagua kifurushi kulingana na mahitaji yako
Katisha wakati wowote. Hutarejeshewa pesa kwa vipindi vya bili visivyokamilika, isipokuwa kwa mujibu wa sheria inayotumika. Kwa kujisajili, unakubali sheria na masharti ya Google One, Google, na ofa. Angalia jinsi Google inavyoshughulikia data. Vifurushi vya Google AI na Gemini kwenye Gmail, Hati na programu zaidi vinapatikana tu kwa walio na umri wa miaka 18 au zaidi. Gemini kwenye Gmail, Hati na programu zaidi inapatikana katika lugha mahususi. Vikomo vya matumizi vinaweza kutumika.
-
1.
Vifurushi vya Google AI Plus, Pro na Ultra vinapatikana katika zaidi ya nchi na maeneo 150 — angalia orodha kamili ya nchi. Manufaa fulani ya AI yanapatikana tu kwa watumiaji walio na umri wa miaka 18 au zaidi. Pata maelezo zaidi.
-
2.
Vikomo vya idhini ya matumizi katika programu ya Gemini: Katika programu ya Gemini, vikomo vya matumizi vinavyotegemea mfumo wa kompyuta vinazingatia ugumu wa kidokezo chako, vipengele unavyotumia na urefu wa gumzo lako. Kikomo chako huwekwa upya kila baada ya saa 5 hadi wakati utafikia kikomo chako cha kila wiki. Unaweza kuongeza vikomo vyako kwa kununua masalio ya AI. Ili upate maelezo zaidi kuhusu idhini ya matumizi na jinsi ya kutumia masalio ya AI, tafadhali tembelea Kituo chetu cha Usaidizi.
-
3.
Vipengele vya Google Flow vinaweza kutofautiana kulingana na kiwango cha usajili cha Google AI, mfumo (wavuti au vifaa vya mkononi) na eneo. Umri wa miaka 18 au zaidi. Angalia Kituo cha Usaidizi cha Google Flow ili upate maelezo zaidi.
-
4.
Mfumo wa Gemini 4 Carbon na Nano Banana Pro katika Matumizi ya AI vinapatikana katika nchi mahususi — angalia orodha kamili ya nchi ambako Gemini 4 Carbon katika Matumizi ya AI inapatikana na orodha kamili ya nchi ambako Nano Banana Pro katika Matumizi ya AI inapatikana.
-
6.
Kifurushi cha mtu binafsi cha YouTube Premium Lite kinapatikana kwa wanaojisajili kwenye Google AI Pro katika nchi mahususi – angalia orodha kamili ya nchi. Vikwazo vya umri, upatikanaji wa lugha, mahitaji ya mfumo na vikwazo vingine vinaweza kutumika.
Kifurushi cha mtu binafsi cha YouTube Premium Lite kilichojumuishwa katika kifurushi hiki hakitawashwa ikiwa tayari una usajili sawa au wa YouTube Premium. Pata maelezo zaidi. Tayari una uanachama wa YouTube? Pata maelezo zaidi kuhusu kudhibiti uanachama.
-
7.
Project Genie inapatikana katika zaidi ya nchi 140 — angalia orodha kamili ya nchi. Inapatikana tu ukiwa na kifurushi cha Google AI Ultra.
-
8.
Kifurushi cha familia cha YouTube Premium kinajumuishwa kwenye Google AI Ultra katika zaidi ya nchi 100 — angalia orodha kamili ya nchi. Google AI Ultra lazima inunuliwe na msimamizi wa familia ili kuwezesha kushiriki YouTube Premium Family, ambayo inaweza kushirikiwa tu na wanafamilia katika kaya moja.