Nufaika zaidi na Gemini
Bado hujaanza kutumia kifurushi kinacholipiwa? Chagua hapa chini ili upate idhini ya kutumia Gemini Omni na vipengele vyetu vipya zaidi.
Pata usaidizi wa kila siku kutoka Google AI wa kushughulikia majukumu kazini, shuleni au nyumbani.
-
Idhini ya kutumia 3.5 Flash
-
Idhini tofauti ya kutumia 3.1 Pro
-
Kubuni na kuhariri picha
-
Deep Research
-
Gemini Live
-
Canvas
-
Gem
Pata uwezo zaidi wa kutumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili uimarishe tija na ubunifu.
Google AI Plus inapatikana katika nchi zaidi ya160 — angalia orodha kamili ya nchi.
Pata uwezo zaidi wa kutumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili uimarishe tija na ubunifu.
Google AI Pro inapatikana katika nchi na maeneo zaidi ya 150 - angalia orodha kamili ya nchi.
Pata idhini ya juu zaidi ya kutumia vipengele bora zaidi vya kipekee na vya Google AI.
Ksh 37,000 KES kwa mwezi: Vikomo vya matumizi vya juu vya mara 20 zaidi ikilinganishwa na AI Pro
Google AI Ultra inapatikana katika nchi zaidi ya 150 — angalia orodha kamili ya nchi.
Kifurushi cha binafsi cha YouTube Premium kinapatikana katika nchi zaidi ya 40 — angalia orodha kamili ya nchi.
Je, unatafuta suluhu zinazotolewa na AI za akaunti yako ya kazini au ya biashara? Anza
Gundua ubunifu wako ukitumia vipengele vyetu vinavyoongoza
Tayarisha kwa ufanisi zaidi
Ukiwa na ufikiaji zaidi wa mfumo wetu unaoongoza, 3.1 Pro, unaweza kubuni mikakati muhimu zaidi ya maudhui, kurahisisha taratibu zako za kazi, kubuni miundo mipya ya ubunifu na kugundua njia mpya za kuivutia hadhira yako ukitumia toleo jipya la mfumo unaoweza kushirikiana nao.
Panua wigo wako
Tekeleza miradi mikubwa kuliko hapo awali ukiwa na uwezo wa kupakia hadi kurasa 1,500 za faili. Tumia tafiti za sekta, manukuu ya video, rasilimali zako zilizopo na mengineyo ili utayarishe mawazo mapya ya maudhui yanayofaa mfumo wowote – kama vile machapisho ya kina kwenye blogu, manukuu ya mitandao ya kijamii na kurasa za tovuti.
Jifunze kwa haraka, elewa kwa kina na ujitayarishe kwa umahiri ili uwe miongoni mwa wanaoongoza.
Boresha uandishi wako
Usikwame tena unapotaka kuandika. Ikiendeshwa na mifumo yetu ya AI yenye uwezo zaidi, Gemini inaweza kukusaidia kupata rasimu ya kwanza, kuelezea hoja zako na kuboresha mawazo yako.
Kamilisha kazi yako ya shuleni ya kufanyia nyumbani
Pakia picha au faili ya kazi unayofanya, Gemini itaichambua na kukupa mwongozo wazi wa hatua kwa hatua ili kukusaidia kuelewa jinsi ya kupata jibu.
Kamilisha hata miradi yako changamano zaidi, kwa haraka - iwe ni kujenga mawazo au kutekeleza
Boresha ujuzi
Andika hati, tayarisha nakala za mitandao ya kijamii na hata upate usaidizi wa kutambua washirika wa biashara ili uwe na muda zaidi wa kubuni.
Changanua maelezo mengi kama mtaalamu
Pakia hadi kurasa 1,500 za hati zako - iwe ni maoni ya wateja au mipango ya biashara na zaidi - ili upate usaidizi wa kitaalamu wa kuchanganua data yako, kupata maarifa muhimu na kutayarisha chati, hatua inayorahisisha jinsi unavyotekeleza miradi yako mahususi.
Boresha tija yako ya usimbaji
Tatua maswali changamano ukitumia msimbo wako
Pakia hazina yako ya misimbo, hadi mistari elfu 30 ya msimbo, ili Gemini ipitie mifano, ipendekeze maboresho muhimu, itatue matatizo ya vyanzo vya msimbo changamano, iboreshe mabadiliko mengi ya utendaji na itoe ufafanuzi kuhusu utaratibu wa sehemu mbalimbali za msimbo.
Boresha ujuzi wako wa usimbaji
Changia mawazo kuhusu suluhu, jadili mawazo ya miundo na upate majibu katika muda halisi kuhusu msimbo wako ili yakusaidie kuboresha ujuzi wako wa kutekeleza miradi binafsi au ustawi wa muda mrefu, yote kwa kutumia AI inayoshirikisha.
Pia, utaweza kutumia Gemini kwenye Gmail, Hati na kupata manufaa mengine kutoka Google One
Gemini kwenye Gmail, Hati za Google na programu zaidi
Rahisisha majukumu yako ya kila siku na upate usaidizi wa kuandika, kupanga na kuonyesha data moja kwa moja katika programu za Google uzipendazo (inapatikana katika lugha mahususi).
TB 5 za nafasi ya hifadhi ya Google One
Hifadhi nakala za faili na kumbukumbu zako kwenye nafasi ya TB 5 ya kutumia katika Hifadhi ya Google, Gmail na huduma ya Picha kwenye Google. Pia, furahia manufaa zaidi kwenye bidhaa za Google.
NotebookLM
Pata vikomo vya juu vya matumizi na vipengele vya kulipiwa ukitumia NotebookLM ili vikusaidie kupata maarifa muhimu kwa haraka zaidi kutokana na maelezo unayoweka.
Gemini kwenye Gmail, Hati za Google na programu zaidi
Rahisisha majukumu yako ya kila siku na upate usaidizi wa kuandika, kupanga na kuonyesha data moja kwa moja katika programu za Google uzipendazo (inapatikana katika lugha mahususi).
Kuanzia TB 20 za nafasi ya hifadhi ya Google One
Hifadhi nakala za faili na kumbukumbu zako kwenye nafasi ya hifadhi ya kuanzia TB 20 ya kutumia katika Hifadhi ya Google, Gmail na huduma ya Picha kwenye Google. Pia, furahia manufaa zaidi kwenye bidhaa za Google.
NotebookLM
Pata vikomo vya juu kabisa vya matumizi na vipengele bora ukitumia NotebookLM ili vikusaidie kupata maarifa muhimu kwa haraka zaidi kutokana na maelezo unayoweka.
Maswali yanayoulizwa sana
Boresha hali yako ya kutumia programu ya Gemini kwa kujisajili kwenye mpango wa Pro. Tumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili utekeleze majukumu pamoja na miradi changamano.
Pata uwezo zaidi wa kutumia mifumo yetu bora, kama vile 3.1 Pro pamoja na vipengele vyenye uwezo mkubwa, ikijumuisha Deep Research na kiwango cha kubaini muktadha cha tokeni milioni 1. Pia, pata jaribio la muda mfupi la Veo 3.1 Lite, mfumo wetu wa kutayarisha video ulioboreshwa ili kuimarisha kasi na ufanisi.
Mpango wetu wa Google AI Pro unapatikana kwa watumiaji walio na umri wa zaidi ya miaka 18 na pia unajumuisha:
-
Gemini kwenye Gmail, Hati za Google na programu zaidi
-
TB 5 za nafasi ya hifadhi ya wingu
-
pamoja na manufaa mengine
Pia, unahitaji Akaunti binafsi ya Google unayoidhibiti mwenyewe.
Nufaika zaidi na Gemini kwa kujisajili kwenye kifurushi cha Ultra. Pata idhini ya juu zaidi ya kutumia vipengele vyetu vyenye uwezo mkubwa zaidi kama vile kutayarisha video kwa kutumia Veo 3.1, Deep Research, mihtasari kwa sauti pamoja na mifumo yetu ya AI yenye uwezo zaidi kama vile 3.1 Pro. Pia, utapata kipaumbele cha kufikia ili ujaribu uvumbuzi wetu mpya zaidi wa AI kadiri unavyopatikana, ikiwa ni pamoja na Matumizi ya Kisaidizi.
Google AI Ultra inajumuisha kila kitu kwenye Google AI Pro na kwingineko. Google AI Ultra inapatikana kwa watumiaji walio na umri wa zaidi ya miaka 18 na pia inajumuisha:
-
Gemini kwenye Gmail, Hati za Google na programu zaidi
-
Kuanzia TB 20 za nafasi ya hifadhi ya wingu
-
NotebookLM
-
pamoja na manufaa mengine
Pia, unahitaji Akaunti binafsi ya Google unayoidhibiti mwenyewe.
Ndiyo, hata hivyo, kunaweza kuwa na tofauti ya vipengele kati ya programu ya Gemini ya vifaa vya mkononi na programu ya Gemini ya wavuti. Jinsi ya kujisajili
Ikiwa ungependa kudhibiti usajili wako wa Google AI katika programu ya vifaa vya mkononi, gusa picha yako ya wasifu ili ufikie menyu ya Mipangilio.
Katisha wakati wowote. Hutarejeshewa pesa kwa vipindi vya bili visivyokamilika, isipokuwa kwa mujibu wa sheria inayotumika. Kwa kujisajili, unakubali sheria na masharti ya Google One, Google, na ofa. Angalia jinsi Google inavyoshughulikia data. Vifurushi vya Google AI na Gemini kwenye Gmail, Hati na programu zaidi vinapatikana tu kwa walio na umri wa miaka 18 au zaidi. Gemini kwenye Gmail, Hati na programu zaidi inapatikana katika lugha mahususi. Vikomo vya matumizi vinaweza kutumika.
-
1.
Vifurushi vya Google AI Plus, Pro na Ultra vinapatikana katika zaidi ya nchi na maeneo 140 — angalia orodha kamili ya nchi. Manufaa fulani ya AI yanapatikana tu kwa watumiaji walio na umri wa miaka 18 au zaidi. Pata maelezo zaidi.
-
2.
Vikomo vya idhini ya matumizi katika programu ya Gemini: Katika programu ya Gemini, vikomo vya matumizi vinavyotegemea mfumo wa kompyuta vinazingatia ugumu wa kidokezo chako, vipengele unavyotumia na urefu wa gumzo lako. Kikomo chako huwekwa upya kila baada ya saa 5 hadi wakati utafikia kikomo chako cha kila wiki. Unaweza kuongeza vikomo vyako kwa kununua masalio ya AI. Ili upate maelezo zaidi kuhusu idhini ya matumizi na jinsi ya kutumia masalio ya AI, tafadhali tembelea Kituo chetu cha Usaidizi.
-
3.
Vipengele vya Google Flow vinaweza kutofautiana kulingana na kiwango cha usajili cha Google AI, mfumo (wavuti au vifaa vya mkononi) na eneo. Umri wa miaka 18 au zaidi. Angalia Kituo cha Usaidizi cha Google Flow ili upate maelezo zaidi.
-
4.
Mfumo wa Gemini 3 Pro, Nano Banana Pro na kipengele cha Utafutaji wa Kina katika Matumizi ya AI vinapatikana katika nchi mahususi — angalia orodha kamili ya nchi ambako Gemini 3 Pro katika Matumizi ya AI inapatikana na orodha kamili ya nchi ambako Nano Banana Pro katika Matumizi ya AI inapatikana.
-
6.
Kifurushi cha YouTube Premium Lite kilichojumuishwa kwenye kifurushi hiki hakitaanza kutumika ikiwa tayari una usajili unaolingana au wa YouTube Premium. Pata maelezo zaidi. Je, tayari una uanachama wa YouTube? Pata maelezo zaidi kuhusu kudhibiti uanachama.
-
7.
Project Genie inapatikana katika zaidi ya nchi 140 — angalia orodha kamili ya nchi. Inapatikana tu ukiwa na kifurushi cha Google AI Ultra.
-
8.
Kifurushi cha binafsi cha YouTube Premium kinapatikana katika nchi zaidi ya 40 — angalia orodha kamili ya nchi.