Buni viratibu maalum ukitumia Gem
Gem ni viratibu vyako maalum vya AI vya kukusaidia katika mada yoyote. Gem inaweza kuwa chochote kama vile mkufunzi wa taaluma, mshirika wa kuchangia mawazo au hata kisaidizi cha usimbaji. Tumia kifurushi chetu cha Gem zilizobuniwa mapema au ubuni zako mwenyewe kulingana na mahitaji yako ya kipekee.
Fanya kazi kwa ufanisi zaidi
Gem hukuwezesha uhifadhi maagizo ya kina ya vidokezo vya majukumu unayorudia sana ili uweze kuokoa muda na kuzingatia ushirikiano wa kina na wenye ubunifu zaidi.
Pakia faili zako
Unaweza kuzipatia Gem maalum muktadha na nyenzo zinazohitaji ili ziweze kukusaidia ipasavyo.
Weka upendavyo hali yako ya utumiaji
Iwe unahitaji Gem kwa madhumuni ya kutoa usaidizi wa kuandika kwa toni na mtindo mahususi au ujuzi wa kitaalamu kuhusu mada muhimu, Gem inaweza kuchochea tija yako.