Skip to main content

Google Gemini:
Kifurushi cha Pro Kisicholipishwa kwa Wanachuo.

Bila kulipia kwa mwaka 1. Piga gumzo, pakia picha na utayarishe maswali bila kikomo kupitia ufikiaji zaidi wa Deep Research, mfumo wetu wa 2.5 Pro na mihtasari kwa sauti, pamoja na TB 2 za nafasi ya hifadhi. Kwa Wanachuo tu. Muda wa ofa utaisha tarehe 9 Desemba 2025.

Free for 1 year. Get it.

Pakia picha bila kikomo

Changanua picha za madokezo ya mihadhara au mazoezi katika vitabu vya kujifunzia ili upate ufafanuzi wa maelezo changamano papo hapo.

Maandalizi ya mtihani yanayokufaa

Geuza nyenzo za mafunzo, madokezo na seti za maswali ziwe maswali maalum ya mazoezi, kadi za maelezo na mwongozo wa mafunzo ili ukusaidie kujiandaa ili kufanya mitihani.

A cropped screenshot of a multiple-choice question on a phone screen. The answer "Sigmund Freud" is selected with a green checkmark, while "Jacques Derrida" is unselected. A blue button below reads "Next Question."

Okoa muda ukitumia Deep Research

Fanya utafiti wa mada changamano kwenye wavuti na upate ripoti ya kina iliyosanisiwa yenye vyanzo na madondoo, hivyo kuokoa muda mwingi.

A user interface screenshot with a text box with the prompt "Research the causes of World War I and its historical significance."

Tayarisha video zenye sauti ukitumia Veo 3.1

Kwa kuendeshwa na Veo 3.1 Fast, Gemini inaweza kugeuza picha na maandishi ya kawaida yawe video nyumbufu zenye sauti maalum.

Sikiliza madokezo yako ukitumia Mihtasari kwa Sauti

Geuza rekodi za mihadhara au sura za vitabu vya kujifunza ziwe Muhtasari kwa Sauti wenye mtindo wa podikasti ili uweze kusoma popote ulipo.

Zungumza na Gemini Live

Changia mawazo kwa sauti, rahisisha mada changamano na ufanye maandalizi ya mawasilisho ukitumia majibu katika muda halisi. Pia, iruhusu Gemini ifikie kamera au maudhui yaliyo kwenye skrini yako ili upate usaidizi unaokufaa unapochambua dhana ngumu.

A user interface screenshot of Gemini Live with a quote that reads "Can you point out any flaws in my argument?"

Usaidizi kwenye kazi ya shuleni ya kufanyia nyumbani

Pakia picha au faili ya kazi unayofanya, Gemini itaichambua na kukupa mwongozo wazi wa hatua kwa hatua ili kukusaidia kuelewa jinsi ya kupata jibu.

  • Nionyeshe hatua kwa hatua jinsi ya kutafuta jibu la swali hili la hisabati
  • Nifahamishe kuhusu umuhimu wa kihistoria wa picha hii
  • Tekeleza Utafiti wa Kina kuhusu kuanguka kwa Falme ya Kirumi
  • Fafanua kuhusu kujirudufu kwa DNA

Maandalizi ya mtihani

Hakikisha kuwa umejiandaa kwa mtihani wako ujao. Pakia hati zako, ziwe ni vidokezo au slaidi na uzitumie kuunda mwongozo wa mafunzo, jaribio la mazoezi au hata podikasti.

  • Tunga maswali kulingana na madokezo haya ya mihadhara
  • Niulize maswali kuhusu Mapinduzi ya Viwanda
  • Geuza vidokezo vyangu vya darasani viwe mwongozo wa mafunzo
  • Andaa Muhtasari kwa Sauti kutokana na ripoti hii

Usaidizi wa kuandika

Kuanzia rasimu ya kwanza hadi ya mwisho: Gemini hukusaidia kuchangia mawazo, kuandaa muhtasari na kugeuza mawazo yako yawe kazi iliyoboreshwa, kwa haraka zaidi.

  • Hakiki insha yangu na upendekeze maboresho
  • Fanya barua pepe hii iwe ya kitaalamu zaidi
  • Boresha wasifu wangu
  • Nisaidie kuunda tovuti ya shirika la wanafunzi

Pia, furahia manufaa bora ya kifurushi cha Google AI Pro.

Whisk/Flow logo

Njia zaidi za kutayarisha ukitumia Whisk na Flow

Tumia picha kama vidokezo ili uonyeshe mawazo na usimulie hadithi yako ukitumia Whisk. Buni masimulizi na matukio yenye mtindo wa kisinema ukitumia Flow, zana yetu ya kutayarisha filamu kwa AI, iliyobuniwa maalum kwa mfumo wa Veo 3.1.

NotebookLM logo

Soma na ufanye utafiti kwa umahiri ukitumia NotebookLM

Pata Mihtasari kwa Sauti na ya Video, madaftari na vyanzo mara 5 zaidi kwa kila daftari, yote kwa kuzingatia maelezo unayoamini.

Google One logo

Pata TB 2 za nafasi ya hifadhi

Pata nafasi ya ziada ya kuhifadhi utafiti, maudhui yenye ubora wa juu, picha, video na miradi ya shule ili uwe na nafasi zaidi ya kuhifadhi vitu vyako muhimu.

Pata maelezo zaidi kuhusu ofa

  • Unahitaji kuwa mwanachuo katika eneo linalotimiza masharti. Angalia hapa ili uone ikiwa unatimiza masharti.

  • Ni lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi.

  • Fanya haraka! Unahitaji kujisajili kufikia tarehe 9 Desemba 2025.

  • Ikiwa unatimiza masharti, utatumia ofa hii kwa mwaka mmoja bila kulipia.

Ni rahisi! Kamilisha tu hatua zifuatazo ili uthibitishe kuwa unatimiza masharti:

  • Tembelea Google One.

  • Thibitisha hali yako ya kuwa mwanafunzi aliyejiandikisha ukitumia SheerID.

  • Uwe na akaunti binafsi ya Google.

  • Uwe na akaunti ya Google Payments na uweke njia sahihi ya kulipa unapoombwa.

  • Kamilisha utaratibu wa kulipia jaribio.

  • Jisajili kwenye Kifurushi cha Google AI Pro kupitia Duka la Google Play.

Tembelea Kituo chetu cha Usaidizi ili upate maagizo ya kina kuhusu kutumia ofa hii. Katika Kituo cha Usaidizi, utapata masharti ya kujiunga, vidokezo vya utatuzi na viungo vya kuwasiliana na timu ya usaidizi iwapo utavihitaji.

Ofa hii inakupa kifurushi cha Google AI Pro, kinachojumuisha:

  • Programu ya Gemini: Pata uwezo zaidi wa kutumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili uimarishe tija na ubunifu.

  • Gemini katika Programu za Google: Tumia Usaidizi wa AI moja kwa moja kwenye Gmail, Hati, Majedwali ya Google, Slaidi za Google na Meet.

  • NotebookLM: Vipengele vilivyoboreshwa vya zana yako ya utafiti na kuandika inayotumia AI.

  • TB 2 za Hifadhi ya Wingu: Nafasi kubwa katika Picha kwenye Google, Hifadhi ya Google na Gmail.

Google One ni mpango wetu wa uanachama ulioundwa ili kukupa manufaa zaidi unapoutumia. Kwa kujiunga, utapata si tu programu ya Gemini kwenye Google AI Pro lakini pia utafikia bidhaa na huduma za ziada pamoja na nafasi kubwa zaidi ya hifadhi, yote haya ili uweze kunufaika zaidi na Google.

Ndiyo! Ikiwa unatimiza masharti ya ofa ya jaribio lisilolipishwa, jisajili kufikia tarehe 9 Desemba 2025 na usajili wako uliopo utakatishwa kiotomatiki. Utarejeshewa pesa kwa muda uliosalia wa kipindi chako cha kutozwa.

Unahitaji kujisajili kwenye ofa hii mahususi ya jaribio lisilolipishwa la Google AI Pro ukitumia akaunti yako binafsi ya Gmail.

Ni vyema kujua: Akaunti yako ya Google Workspace uliyopewa chuoni huenda pia ikawa na ufikiaji usiolipishwa wa zana thabiti za Google AI (kama vile programu ya Gemini iliyo na uwezo wa 2.5 Pro na NotebookLM). Hii inategemea iwapo msimamizi wa TEHAMA wa chuo chako ameziruhusu. Ni muhimu kuangalia zana unazoweza kupata kupitia akaunti yako ya chuoni pia!

Tutakutumia barua pepe mapema ili kukukumbusha kuwa ofa yako inakaribia kuisha ili uikatishe wakati wowote katika kipindi cha kujaribu.

Ofa itaisha tarehe 9 Desemba 2025. Unapaswa kuwa umejiandikisha katika taasisi ya elimu ya juu inayotimiza masharti ambako wanachuo wanaweza kujaribu Google AI Pro. Usajili husasishwa kiotomatiki kwa Ksh 3,700 kila mwezi baada ya kipindi cha kujaribu. Katisha wakati wowote.

Mpango wa Google One Ya Juu yenye AI, intaneti na akaunti inayooana zinahitajika kwa baadhi ya vipengele. Hupatikana kwa watumiaji walio na umri wa miaka 18 au zaidi na katika nchi na lugha mahususi. Buni kwa uagalifu.