Skip to main content

Gemini Drops

Gemini is constantly evolving, but Gemini Drops makes it easier to keep up with what’s being released. Check here regularly to find feature announcements, product tips, and see how our community is using Gemini to create, research, and do more.

Pakia historia ya gumzo na kumbukumbu zako za AI kwenye Gemini

Hamisha magumzo na kumbukumbu zako za AI kutoka kwa watoa huduma wengine wa AI kwa mibofyo michache tu.

Tunakuletea Lyria 3 Pro

Waliojisajili kwenye Google AI Plus, Pro na Ultra sasa wana nafasi ya ziada ya kutayarisha nyimbo zenye urefu wa hadi dakika 3. Gemini hutayarisha muziki maalum wenye usahihi wa hali ya juu ili uuweke kwenye miradi yako ya ubunifu au uwatumie marafiki.

Sasisho letu kubwa kabisa kuwahi kufanyika kwenye Gemini Live hadi sasa

Changia mawazo kwa sauti. Gemini Live kwenye toleo la 3.1 inajibu kwa kasi ya asilimia 20 zaidi kwa hivyo mazungumzo yanaendelea bila kukatizwa. Inaweza pia kufuata muktadha wako kwa mara 2 zaidi bila wewe kujirudia baadaye.

Gemini Drops zilizopita

Results for illustrative purposes and may vary. Internet and subscription for certain features required. Available to users 18+. Create responsibly.