Pata Gemini 4 Argon ukitumia vifurushi vya Google AI Pro na Ultra. Pandisha daraja leo!
Skip to main content

Tazama unachoweza kufanya

Tunakuletea Gemini 4 Argon

Tunakuletea mfumo wetu wa mbele wa Gemini 4 Argon.

Gemini 4 Argon ni mfumo wetu wa mbele zaidi ulioundwa ili ushughulikie majukumu yako changamano zaidi kuanzia mwanzo hadi mwisho. Iwe unachambua ripoti changamano za biashara, unatayarisha wasilisho au unabuni muundo wa 3D, Argon inaleta umaizi wa kiwango cha juu kwenye kazi zako za kila siku, hivyo kubadilisha mawazo yako makuu yawe miradi halisi na matokeo unayoweza kutumia.

Gemini Omni

Sasa ni rahisi kutayarisha na kuhariri video kupitia mazungumzo. Gemini Omni ni kama Nano Banana kwa video. Changanya maandishi, picha na video ili utekeleze mawazo yako.

Neural Expressive

Kuanzia matumizi ya fonti hadi majibu unayoweza kuhisi, majibu ya picha na rangi zinazorindima, Neural Expressive ni lugha mpya ya muundo wa Gemini inayofanya kazi iliyoundwa itumiwe katika enzi ya AI.

Gemini Live

Gemini Live sasa imejumuishwa kwenye gumzo lako, ili uweze kubadili majukumu kwa urahisi kati ya kuzungumza na kuandika. Wakati unazungumza, ionyeshe Gemini unachokiona na ujaribu kusema "buni upya" ili ubuni mandhari mapya ya ubunifu ukitumia Nano Banana.

Nufaika zaidi na Gemini

Chagua kifurushi kinachokufaa.

Hailipishwi

Pata usaidizi wa kila siku kutoka Google AI wa kushughulikia majukumu kazini, shuleni au nyumbani.

Ksh 0 KES kila mwezi ukitumia Akaunti ya Google
Programu ya Gemini
Kiratibu chako binafsi, maizi na chenye uwezo zaidi kinachotumia Al
  • Idhini ya kutumia mfumo wetu wa Flash-Lite

  • Kubuni na kuhariri picha

  • Deep Research

  • Gemini Live

  • Canvas

  • Gem

Google Flow3
Idhini ya kutumia studio yetu ya ubunifu inayotumia AI kubuni masimulizi na matukio yenye mtindo wa kisinema, ikiwa ni pamoja na idhini inayodhibitiwa ya kutumia Nano Banana Pro.
Gemini Notebook
Kisaidizi cha utafiti na uandishi
Hifadhi
GB 15 za nafasi ya hifadhi ya wingu ya kutumia kwenye Gmail, Hifadhi na huduma ya Picha kwenye Google
Google AI Plus1

Pata uwezo zaidi wa kutumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili uimarishe tija na ubunifu.

Ksh 900 KES kila mwezi
Pata idhini ya juu ya kutumia ya mara 2 zaidi kuliko ya toleo Lisilolipishwa
Manufaa yote ya Mpango Usiolipishwa pamoja na:
Programu ya Gemini
  • Idhini ya kutumia mfumo wetu wa Flash

  • Pata idhini ya juu ya kutumia ya mara 2 zaidi2 kuliko ya toleo Lisilolipishwa na idhini ya kutumia vipengele zaidi kama vile vya kutayarisha video.

Google Flow3
Pata Masalio 200 ya Google Flow ya kutumia katika studio yetu ya ubunifu inayotumia AI ili utayarishe masimulizi na matukio yenye mtindo wa kisinema ukiwa na idhini ya kutumia Gemini Omni Flash pamoja na kubuni zana maalum.
Google G icon
Tafuta na Google4
Idhini zaidi ya kutumia Nano Banana kwenye huduma ya Tafuta.
Gemini Notebook
Kisaidizi cha utafiti na uandishi kilicho na idadi kubwa zaidi ya Mihtasari kwa Sauti, madaftari na mengineyo
Gemini kwenye Gmail, Vids na zaidi
Tumia Gemini moja kwa moja katika programu za Google
Hifadhi
GB 400 za nafasi ya hifadhi ya wingu ya kutumia kwenye Gmail, Hifadhi na huduma ya Picha kwenye Google

Google AI Plus inapatikana katika nchi zaidi ya160 — angalia orodha kamili ya nchi.

Inajumuisha Gemini 4 Argon
Google AI Pro1

Pata uwezo zaidi wa kutumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili uimarishe tija na ubunifu.

Ksh 3,700 KES kila mwezi
Pata idhini ya juu ya kutumia ya mara 4 zaidi kuliko ya toleo Lisilolipishwa
Manufaa yote ya Mpango Usiolipishwa pamoja na:
Programu ya Gemini
  • Idhini ya kutumia Gemini 4 Argon

  • Idhini ya kutumia mfumo wetu wa Pro

  • Idhini ya kutumia mfumo wetu wa Flash

  • Pata idhini ya juu ya kutumia ya mara 4 zaidi2 kuliko ya toleo Lisilolipishwa na idhini ya kutumia vipengele zaidi kama vile vya kutayarisha video.

Google Flow3
Pata Masalio 1,000 ya Google Flow ya kutumia katika studio yetu ya ubunifu inayotumia AI ili utayarishe masimulizi na matukio yenye mtindo wa kisinema ukiwa na idhini ya kutumia Gemini Omni Flash pamoja na kubuni zana maalum.
Google G icon
Tafuta na Google4
Idhini ya juu ya kutumia Gemini 4 Argon, Nano Banana, uwezo wa kutekeleza majukumu kwa uhuru na zaidi.
Google Antigravity
Vikomo vya msingi vya kiwango cha mfumo tekelezi katika Google Antigravity, mfumo wetu wa usanidi unaojitekeleza
Gemini Notebook
Kisaidizi cha utafiti na uandishi kilicho na idadi ya mara 5 zaidi ya Mihtasari kwa Sauti, madaftari na mengineyo
Gemini kwenye Gmail, Hati, Vids na programu zaidi
Tumia Gemini moja kwa moja katika programu za Google
Kifurushi cha YouTube Premium Lite6
Video nyingi bila matangazo, chinichini na wakati haupo mtandaoni
Hifadhi
TB 5 za nafasi ya hifadhi ya wingu inayoweza kutumiwa kwenye Gmail, Hifadhi na huduma ya Picha kwenye Google

Google AI Pro inapatikana katika nchi na maeneo zaidi ya 150 - angalia orodha kamili ya nchi.

Inajumuisha Gemini 4 Argon
Google AI Ultra1

Pata idhini ya juu zaidi ya kutumia vipengele bora zaidi vya kipekee na vya Google AI.

Inaanzia:
Ksh 12,500 KES kwa mwezi
Ksh 12,500 KES kwa mwezi: Vikomo vya matumizi vya juu vya mara 5 zaidi ikilinganishwa na AI Pro
Ksh 37,000 KES kwa mwezi: Vikomo vya matumizi vya juu vya mara 20 zaidi ikilinganishwa na AI Pro
Manufaa yote ya Google AI Pro pamoja na:
Programu ya Gemini
  • Highest access to Gemini 4 Argon

  • Idhini ya juu zaidi ya kutumia mfumo wetu wa Pro

  • Idhini ya juu zaidi ya kutumia mfumo wetu wa Flash

  • Pata vikomo vya matumizi vya juu vya hadi mara 20 zaidi2 katika Gemini kuliko vya kifurushi cha Pro, pamoja na idhini ya kwanza ya kutumia vipengele vya kina kama vile Majukumu kwenye Gemini (katika nchi mahususi).

Google Flow3
Pata Masalio 10,000 au 25,000 ya Google Flow ya kutumia katika studio yetu ya ubunifu inayotumia AI ili utayarishe masimulizi na matukio yenye mtindo wa kisinema ukiwa na idhini ya kutumia Gemini Omni Flash pamoja na kubuni zana maalum.
Google G icon
Tafuta na Google4
Idhini ya juu zaidi ya kutumia Gemini 4 Argon, Nano Banana, uwezo wa kutekeleza majukumu kwa uhuru na zaidi.
Google Antigravity
Ultra mara 5: Vikomo vya msingi vya kiwango cha mfumo tekelezi katika Google Antigravity, mfumo wetu wa usanidi unaojitekeleza
Ultra mara 20: Vikomo vya msingi vya kiwango cha mfumo tekelezi katika Google Antigravity, mfumo wetu wa usanidi unaojitekeleza
Gemini Notebook
Vikomo vya juu zaidi na mifumo yenye uwezo mkubwa
Gemini kwenye Gmail, Hati, Vids na programu zaidi
Vikomo vya juu zaidi vya kutumia Gemini moja kwa moja katika programu za Google
Project Genie7
Buni na ugundue ulimwengu shirikishi katika muda halisi ukitumia mfumo wetu mkubwa zaidi wa kubuni ulimwengu wa Genie 3
Kifurushi cha binafsi cha YouTube Premium8
YouTube bila matangazo, nje ya mtandao na chinichini
Hifadhi
Nafasi ya hifadhi ya wingu kuanzia TB 20 inayoweza kutumiwa katika Gmail, Hifadhi na huduma ya Picha kwenye Google

Google AI Ultra inapatikana katika nchi zaidi ya 150 — angalia orodha kamili ya nchi.

Kifurushi cha binafsi cha YouTube Premium kinapatikana katika nchi zaidi ya 40 — angalia orodha kamili ya nchi.

Gemini Enterprise
Toleo la Business

Kwa biashara na timu ndogo. Huhitaji kuweka mipangilio ya TEHAMA.

Inaanzia:
US$ 21 kwa kila nafasi kwa mwezi
Gemini - kiratibu chako binafsi kinachotumia AI, cha kiotomatiki na chenye uwezo mkubwa kilichobuniwa mahususi kwa biashara
Gemini Notebook kwa mashirika
Tafuta na uchanganue maelezo, tayarisha maarifa na maudhui ya maandishi, picha na video
Unganisha kwa njia salama zana za kuongeza tija kama vile Microsoft 365, Google Workspace, HubSpot, Jira na zaidi
Unganisha data ya shirika ukitumia maktaba ya viunganishi vya vyanzo mbalimbali vya data
Buni mifumo tekelezi maalum ukitumia Zana yetu ya kubuni Utaratibu wa Kazi isiyohitaji misimbo
Weka kiotomatiki utaratibu wa kazi ukitumia mifumo tekelezi iliyosanidiwa awali na Google
Fikia, buni na udhibiti mifumo yako tekelezi yote kupitia mwonekano mmoja wa kina
Usalama na udhibiti uliojumuishwa
Nafasi ya hifadhi ya GiB 25 na kunakili data katika faharasa kwa kila mtumiaji (pamoja)
Hadi nafasi 300
Gemini Enterprise
Matoleo ya Standard au Plus

Kwa mashirika yanayohitaji vidhibiti vya TEHAMA vya kiwango cha shirika.

Inaanzia:
US$ 30 kwa kila nafasi kwa mwezi
Kila kitu kwenye toleo la Business na:
Vikomo vya juu vya kutumia Gemini
Hamishia mifumo yako tekelezi iliyobuniwa kwa kutumia Agent Development Kit (ADK) ya Google au mifumo tekelezi ya washirika wengine
Tumia vipengele vya kina vya usalama na udhibiti kama vile VPC-SC na Funguo za Usimbaji Fiche Zinazodhibitiwa na Wateja
Pata utiifu wa wingu wa kiwango cha shirika na mipaka ya data ya mamlaka kwa mahitaji ya unakohifadhi ya data
Tumia vipengele vya utiifu vya Gemini Notebook kwa mashirika
Nafasi ya hifadhi ya hadi GiB 75 na kunakili data katika faharasa kwa kila mtumiaji (pamoja)
Nafasi bila kikomo
Chaguo la kununua Gemini Enterprise Frontline, iliyobuniwa mahususi kwa wafanyikazi wanaotoa huduma msingi
Studio ya Google AI

Jaribu mifumo ya hivi punde ya Gemini na uanze kubuni ukitumia Gemini API.

Anza bila kulipia
Ufikiaji unaodhibitiwa wa mifumo fulani
Tokeni za kuingiza na kutoa data bila kulipia
Uwezo wa kutumia Gemini Developer API
Maudhui yanayotumiwa kuboresha bidhaa zetu
Pandisha daraja upate kifurushi cha kulipia ili upate vikomo vya juu na uwezo wa kutumia kipengele cha Kuweka akiba ya muktadha, Batch API pamoja na mifumo ya Google ya kina zaidi
Google Antigravity

Tumia mifumo tekelezi ya AI kuandika, kufanyia majaribio na kutekeleza msimbo.

Anza bila kulipia
Ukamilishaji kwa vichupo bila kikomo
Maombi ya amri bila kikomo
Vikomo vya kawaida vya kiwango cha kila wiki
Pandisha daraja upate kifurushi cha kulipia ili ufurahie vikomo vya juu na masalio ya AI yanayobadilika kulingana na mahitaji yako
Jukwaa la Gemini

Unda, tekeleza na udhibiti mifumo tekelezi ya AI na programu zilizo tayari kwa matumizi ya biashara.

Lipa kulingana na matumizi
Gundua zaidi ya mifumo 200 ya Google, ya vyanzo huria na ya washirika wengine
Ufundishaji na uboreshaji wa mfumo, uyakinishaji wa data ya biashara, RAG na ukisiaji nyumbufu
Wigo unaonyumbulika wa usanidi wa mifumo tekelezi kuanzia mifumo ya msimbo wa kiwango cha chini hadi mifumo ya msimbo wa kiwango cha juu
Usimamizi kamili wa kuunda, kurekebisha, kusimamia na kuboresha mifumo tekelezi katika toleo la umma
Usalama wa shirika, faragha ya data na udhibiti wa pamoja wa mfumo tekelezi

Gundua njia zaidi za kutumia Gemini

Chagua kifurushi kulingana na mahitaji yako

Katisha wakati wowote. Hutarejeshewa pesa kwa vipindi vya bili visivyokamilika, isipokuwa kwa mujibu wa sheria inayotumika. Kwa kujisajili, unakubali sheria na masharti ya Google One, Google, na ofa. Angalia jinsi Google inavyoshughulikia data. Vifurushi vya Google AI na Gemini kwenye Gmail, Hati na programu zaidi vinapatikana tu kwa walio na umri wa miaka 18 au zaidi. Gemini kwenye Gmail, Hati na programu zaidi inapatikana katika lugha mahususi. Vikomo vya matumizi vinaweza kutumika.

  • 1.

    Vifurushi vya Google AI Plus, Pro na Ultra vinapatikana katika zaidi ya nchi na maeneo 140 — angalia orodha kamili ya nchi. Manufaa fulani ya AI yanapatikana tu kwa watumiaji walio na umri wa miaka 18 au zaidi. Pata maelezo zaidi.

  • 2.

    Vikomo vya idhini ya matumizi katika programu ya Gemini: Katika programu ya Gemini, vikomo vya matumizi vinavyotegemea mfumo wa kompyuta vinazingatia ugumu wa kidokezo chako, vipengele unavyotumia na urefu wa gumzo lako. Kikomo chako huwekwa upya kila baada ya saa 5 hadi wakati utafikia kikomo chako cha kila wiki. Unaweza kuongeza vikomo vyako kwa kununua masalio ya AI. Ili upate maelezo zaidi kuhusu idhini ya matumizi na jinsi ya kutumia masalio ya AI, tafadhali tembelea Kituo chetu cha Usaidizi.

  • 3.

    Vipengele vya Google Flow vinaweza kutofautiana kulingana na kiwango cha usajili cha Google AI, mfumo (wavuti au vifaa vya mkononi) na eneo. Umri wa miaka 18 au zaidi. Angalia Kituo cha Usaidizi cha Google Flow ili upate maelezo zaidi.

  • 4.

    Mfumo wa Gemini 4 Argon, Nano Banana Pro na kipengele cha Utafutaji wa Kina katika Matumizi ya AI vinapatikana katika nchi mahususi — angalia orodha kamili ya nchi ambako Gemini 4 Argon katika Matumizi ya AI inapatikana na orodha kamili ya nchi ambako Nano Banana Pro katika Matumizi ya AI inapatikana.

  • 5.

    Inahitaji programu ya Google Home, Wi-Fi na muunganisho wa intaneti. Vipengele vinaweza kubadilika; vinapatikana katika nchi na lugha mahususi. Vipengele vya Gemini hufanya kazi bila kutegemea programu za Gemini. Kagua usahihi wa majibu; matokeo yanaweza kutofautiana.

  • 6.

    Kifurushi cha YouTube Premium Lite kilichojumuishwa kwenye kifurushi hiki hakitaanza kutumika ikiwa tayari una usajili unaolingana au wa YouTube Premium. Pata maelezo zaidi. Je, tayari una uanachama wa YouTube?
Pata maelezo zaidi kuhusu kudhibiti uanachama.

  • 7.

    Project Genie inapatikana katika zaidi ya nchi 140 — angalia orodha kamili ya nchi. Inapatikana tu ukiwa na kifurushi cha Google AI Ultra.

  • 8.

    Kifurushi cha binafsi cha YouTube Premium kinapatikana katika nchi zaidi ya 40 — angalia orodha kamili ya nchi.